Isaiah 37:14

Maombi Ya Hezekia

14 aHezekia akapokea barua kutoka kwa wale wajumbe naye akaisoma. Kisha akapanda katika Hekalu la Bwana, akaikunjua mbele za Bwana.
Copyright information for SwhNEN